NAIBU WAZIRI WA FEDHA ATEMBELEA HOSPITALI YA MWANANYAMALA

NAIBU WAZIRI WA FEDHA ATEMBELEA HOSPITALI YA MWANANYAMALA

Like
244
0
Wednesday, 07 January 2015
Local News

 NAIBU WAZIRI wa Fedha Mheshimiwa MWIGULU NCHEMBA amefanya ziara kwenye Hospitali ya Mwananyamala kujionea hali halisi ya huduma zinazopatikana katika Hospitali hiyo pamoja na kuchangia damu salama ili kuhamasisha Kampeni ya kuchangia Damu Salama kwa Wagonjwa wanaohitaji Damu.

Ziara hiyo ameifanya katika kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa,ambayo imelenga kutoa huduma za Kijamii kwa kuwasaidia watu Wasiojiweza, Wagonjwa pamoja na watu wenye Shida mbalimbali.

Comments are closed.