ongezeko la ajali za barabarani jiji la Dar es salaam zinasababishwa na madereva wa Pikipiki kwa kutozingatia Sheria na taratibu za usalama barabarani.
Kamanda KOVA amesema ongezeko hilo la ajali ni kithibitisho kuwa madereva hao hawana mafunzo ya uendeshaji wa vyombo hivyo.