WIMBI LA VIJANA WASIOKUWA NA AJIRA NI TATIZO LA DUNIA NZIMA

WIMBI LA VIJANA WASIOKUWA NA AJIRA NI TATIZO LA DUNIA NZIMA

Like
329
0
Tuesday, 13 January 2015
Local News

WIMBI la kuwa na vijana wasiokuwa na kazi limeelezwa kuwa tatizo duniani kote na Serikali zinatakiwa kuliangalia hilo kwa undani na kulitatua.

Kauli hiyo imetolewa na Mratibu wa Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini na Mwakilishi wa shirika la maendeleo la Umoja wa Mataifa –UNDP, ALVARO RODRIGUEZ

Comments are closed.