SERIKALI IMEOMBWA KUONDOA CHANGAMOTO KATIKA SHULE MAALUM ZA WATOTO WENYE ULEMAVU

SERIKALI IMEOMBWA KUONDOA CHANGAMOTO KATIKA SHULE MAALUM ZA WATOTO WENYE ULEMAVU

Like
260
0
Wednesday, 14 January 2015
Local News

SERIKALI imeombwa kuhakikisha kuwa shule Maalum za watoto wenye Ulemavu zinapatiwa vifaa vya kufundishia na kujifunzia ili kuondoa changamoto zinazozikabili shule hizo.

 Rai hiyo imetolewa jijini Dar es salaam na baadhi ya Walimu na Wanafunzi wa shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko shule ambayo ina wanafunzi wenye Ulemavu na wasio na Ulemavu .

 

Comments are closed.