UINGEREZA YAWA NCHI YA KWANZA KUPITISHA SHERIA HII YA DNA

UINGEREZA YAWA NCHI YA KWANZA KUPITISHA SHERIA HII YA DNA

Like
238
0
Wednesday, 25 February 2015
Global News

UINGEREZA imekuwa nchi ya kwanza kuidhinisha sheria itakayoruhusu uzaaji wa watoto wenye vinasaba, DNA kutoka kwa wanawake wawili na mwanamume mmoja.

Sheria hiyo ilioimarishwa imepita kikwazo chake cha mwisho baada ya kuidhinishwa na bunge la taifa hilo.

Sheria hiyo sasa itadhibiti utoaji wa leseni kwa wanaotaka kutengeneza watoto hao kwa lengo la kuvilinda vizazi hivyo kutorithi magonjwa mabaya. Mtoto wa kwanza huenda akazaliwa kabla ya mwaka 2016.

 

Comments are closed.