Kuelekea kwenye mashindano ya shika ndinga wilaya ya kinondoni wafahamu baadhi ya wanafamilia wa 93.7 efm akiwemo viongozi
unaweza kushiriki kwenye mashindano haya kwakusikiliza vipindi vyote vya redio hii na kujibu maswali yatakayoulizwa
kushoto ni farida kutoka joto la asubuhi akifuatiwa na Francis mhando kutoka e sport na SPH pamoja na Geofrey