MAPIGANO YAZUKA UPYA UKRAINE

MAPIGANO YAZUKA UPYA UKRAINE

Like
214
0
Tuesday, 14 April 2015
Global News

MAWAZIRI wa Mashauri ya Kigeni wa Ujerumani , Ufaransa , Urusi na Ukrain wameelezea wasiwasi uliopo kufuatia kutokea kwa mapigano Mashariki mwa Ukrein na kikiukwa kwa makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyoafikiwa mwezi Februari.

Baada ya mazungumzo yaliyofanyika mjini Berlin, Waziri wa Mashauri ya kigeni wa Ujerumani FRANK-WALTER STEINMEIER amewaambia Waandishi wa Habari kuwa kati ya silaha ambazo zitaondoa ni pamoja na Vifaru.

Pande hizo mbili zimeonekana kuheshimu makubaliano hayo hadi kulipotokea mapigano ya hivi majuzi kwenye uwanja wa ndege wa Donetsk na kijiji cha Shyrokyne nje ya mji wa Mariupol.

Comments are closed.