MALAYSIA YAKUBALI KUWAPOKEA WAHAMIAJI

MALAYSIA YAKUBALI KUWAPOKEA WAHAMIAJI

Like
195
0
Thursday, 21 May 2015
Global News

WAZIRI MKUU wa Maysia Najib Razak amesema kuwa taifa lake litaanzisha operesheni ya kutafuta na kukomboa mashua za wahamiaji wa kabila la Rohingya katika bahari ya Andaman.

Aidha amebainisha kuwa misaada ya kibinadamu kadhalika itatolewa kwa uchukuzi wa barabarani na majini.

Tangazo lake limekuja baada ya maafisa kuzuia mashua za wahamiaji hao kuingia katika maji ya Malaysia, na wakati mwingine kuziondoa kwa kuzikokota kutoka maji hayo kwa majuma kadhaa.

Comments are closed.