MUHAMMADU BUHARI APISHWA KUWA RAIS NIGERIA

MUHAMMADU BUHARI APISHWA KUWA RAIS NIGERIA

Like
346
0
Friday, 29 May 2015
Global News

NIGERIA leo imemwapisha bwana Muhammadu Buhari kuwa rais mpya wa nchi hiyo ambako zaidi ya nchi 30 za Afrika zinawakilishwa na viongozi katika sherehe hizo.

 

Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini anahudhuria pia sherehe hizo wakati  Marekani inawakilishwa na waziri wake wa mambo ya nchi za nje John Kerry,Uingereza na waziri  wake wa mambo ya nchi za nje Philipp Hammond na Laurent Fabius anaiwakilisha Ufaransa.

 

Licha ya matatizo yanayolikabili taifa hilo linalochimba mafuta kwa wingi zaidi barani Afrika,ushindi wa kihistoria wa Muhammadu Buhari  na tukio la kwanza la aina yake la kukabidhiwa madaraka kwa njia za kidemokrasia ,vimezusha matumaini mema kwa nchi hiyo.

150529101952__buhari_ameapishwa_kuwa_rais_wa_nigeria_624x351_bbc_nocredit

 

Waziri wa maswala ya kigeni wa Marekani akiwa Abuja

150529101852__buhari_ameapishwa_kuwa_rais_wa_nigeria_624x351_bbc_nocredit

 

Kiongozi wa Ethiopia akiwasili Abuja

150529101813__buhari_ameapishwa_kuwa_rais_wa_nigeria_624x351_bbc_nocredit

 

Wasanii wakiwatumbuiza wageni

150529101613__buhari_ameapishwa_kuwa_rais_wa_nigeria_624x351_bbc_nocredit

Rais Buhari akikagua guaride la heshima

 

150529101344__buhari_ameapishwa_kuwa_rais_wa_nigeria_624x351_bbc_nocredit

 

Familia ya rais Buhari

Comments are closed.