UMOJA WA MATAIFA WAITUHUMU IS NA MAKUNDI MENGINE YENYE SILAHA KWA KUWATESA NA KUWAUA WATOTO

UMOJA WA MATAIFA WAITUHUMU IS NA MAKUNDI MENGINE YENYE SILAHA KWA KUWATESA NA KUWAUA WATOTO

Like
197
0
Tuesday, 02 June 2015
Global News

UMOJA wa Mataifa umeishutumu IS na makundi mengine yenye silaha nchini Syria na Iraq kwa kuwatesa na kuwaua watoto.

Hatua hiyo imekuja baada ya kugundulika kuwa wanahusika na matumizi ya kundi kubwa la watu wenye umri chini ya miaka 15 kutumiwa na makundi ya kigaidi ya Al-Nusra Front lenye uhusiano na Al-Qaeda.

Kundi la Islamic State limeondoa mfumo wa elimu ya kawaida na badala yake kuanzisha shule za mtindo wa kijeshi ambazo zinawafundisha watoto itikadi kali ya kidini ikiwemo kuwafundisha namna ya kuua watu.

Comments are closed.