SERIKALI IMEOMBWA KULIPATIA HATI MILIKI SOKO LA NDIZI LA URAFIKI

SERIKALI IMEOMBWA KULIPATIA HATI MILIKI SOKO LA NDIZI LA URAFIKI

Like
268
0
Thursday, 20 August 2015
Local News

SERIKALI  imeombwa kulipatia Hati Miliki soko la Ndizi na Matunda lililopo mabibo  urafiki jijini dar es salaam kutokana na soko hilo kukosa ufadhili wa mikopo katika benki kwa sababu ya kukosa hati hiyo.

 

Akizungumza na Efm Mwenyenye kiti wa Soko hilo  Bwana  KIBWANA  ALFAN  PAZI amesema kuwa endapo watapata hati miliki ya soko hilo itawasaidia  kupata wafadhili kutoka sehemu mbalimbali watakao wawezesha katika biashara yao.

 

PAZI amebainisha kuwa vijana wengi wameweza kujiajili wenyewe kupitia nafasi wanazo zipata katika masoko na kuweza kujikimu katika maisha yao ikiwa ni pamoja na kuondokana na makundi ya ukabaji kwa ajili ya kupata pesa.

Comments are closed.