UFARANSA YAANZA KURUSHA NDEGE ZA UPELELEZI SYRIA

UFARANSA YAANZA KURUSHA NDEGE ZA UPELELEZI SYRIA

Like
159
0
Wednesday, 09 September 2015
Global News

JESHI la  anga  la Ufaransa  limeanza  kurusha  ndege za upelelezi  katika  anga  ya  Syria  kukusanya  data  katika maeneo  yanayodhibitiwa  na  kundi  la  Dola  la  Kiislamu.

Waziri wa  mambo  ya  kigeni  ya  Ufaransa   Laurent Fabius  amesema  kuwa  ndege  hizo zinaamua muda  muafaka  na  hatua  za  kuchukuliwa  dhidi ya wapiganaji  wa  IS.

Australia  leo imetangaza  kujiunga  na  mashambulizi  ya anga  nchini  Syria, na  itawachukua  wakimbizi elfu 12,000 zaidi.

Comments are closed.