JESHI LADAI KUUA KIMAKOSA

JESHI LADAI KUUA KIMAKOSA

Like
188
0
Monday, 14 September 2015
Global News

MISRI imesema jeshi lake la ulinzi limeua raia 12 kwa bahati mbaya,wakiwemo watalii kutoka Mexico wakati wa operesheni ya kupambana na ugaidi.

Wizara ya mambo ya ndani ya nchi hiyo imetuma kikosi kwa ajili ya kufanya uchunguzi kuhusu tukio hilo

kwa upande wa Rais wa Mexico, Enrique Pena Nieto amekemea tukio hilo na ameitaka serikali ya Misri kufanya uchunguzi wa kina.

Comments are closed.