WATAFITI NCHINI WAMETAKIWA KUTUNGA SERA ZENYE MAFANIKIO

WATAFITI NCHINI WAMETAKIWA KUTUNGA SERA ZENYE MAFANIKIO

Like
194
0
Tuesday, 06 October 2015
Local News

WATAFITI nchini kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo kutoka sekta mbalimbali wameshauriwa kutunga sera zenye manufaa kwa lengo la kutambua umuhimu wa kutoa takwimu  katika maamuzi.

Akizungumza jijini Dar es salam Mkurugenzi wa Repoa Profesa Samwel Wangwe amesema kuwa kinachosababisha kuwepo kwa changamoto katika huduma za kijamii ni kukosekana kwa takwimu yakinifu.

Profesa Wangwe amesema ili kukabiliana na tatizo hilo Repoa imeamua kukutana na wadau wa maendeleo wakiwemo watunga sera na mipango ili kuwajengea uwezo juu ya umuhimu wa kutumia takwimu kufanya maamuzi ya kuleta maendeleo.

Comments are closed.