Hizi ni picha za mjengo mpya wa Jay Z na Beyoncé
Mjengo huo unapatikana Holmby Hills, kwenye jimbo la California nchini Marekani
Wawili hao wametoa kitita cha dola milioni 45 za kimarekani ambayo ni sawa na $150k za malipo ya kukodi mjengo huo kwa mwezi.
Kwenye mkataba uliosainiwa na wawili hawa utawafanya waishi kwenye mjengo huo kwa mwaka mmoja