RIPOTI YA UTAFITI JUU YA UVUTAJI WA SIGARA CHINA

RIPOTI YA UTAFITI JUU YA UVUTAJI WA SIGARA CHINA

Like
272
0
Friday, 09 October 2015
Global News

UTAFITI mpya umeonya kuwa sigara ina uwezo wa kuua kijana mmoja kati ya vijana watatu nchini China.

Hali hiyo itatokea kama hapatakuwa na hatua yeyote itakayofanyika itakayowafanya waache tabia hiyo.

Utafiti huo, uliochapishwa katika jarida la Lancet linalohusiana na masuala ya tiba, unasema kuwa China inakabiliwa na ongezeka kubwa la vifo vya mapema kwa kuwa theluthi mbili ya vijana nchini humo huanza kuvuta sigara wakiwa chini ya miaka ishirini.

Comments are closed.