CHAMA cha upinzani nchini Venezuela kimeshinda wingi wa viti bungeni kwa mara ya kwanza tangu chama cha kisoshiolisti kiingie madarakani 1999 chini ya uongozi wa rais wa zamani Hugo Chavez .
Rais wa baraza kuu la chaguzi Tibisay Lucena, amesema kuwa upinzani umeshinda takriban viti 99 kati ya viti 167.