MEXCO YARUHUSU MATUMIZI YA CHANJO YA DENGE

MEXCO YARUHUSU MATUMIZI YA CHANJO YA DENGE

Like
274
0
Thursday, 10 December 2015
Global News

MEXICO imekuwa nchi ya kwanza duniani kuruhusu matumizi ya chanjo ya kukinga maradhi ya homa ya denge yanayowasibu karibu watu Milioni mia moja kila mwaka   duniani, na hasa katika nchi za joto.

Idara kuu ya tiba nchini Mexico imesema chanjo hiyo ilifanyiwa majaribio kwa  wagonjwa zaidi yaelfu  40,000 katika  sehemu mbalimbali za dunia.

Virusi vya homa ya denge husababisha mvujo wa damu wa ndani kwa ndani na kushindwa kwa viungo kufanya  kazi. Virusi hivyo vinaenezwa na mbu.

 

Comments are closed.