CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi Nchini –NEC, kuhakikisha inaondoa vikwazo vyote katika mchakato wa kutangaza majina ya madiwani wa viti maalumu .
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dae Es Salaamu leo, Kaimu Katibu Mkuu wa chama hicho SALIMU MWALIMU, ameitaka tume hiyo kutenda haki katika kugawanya viti maalumu vya udiwani kwa kufuata kanuni na taratibu za ugawaji .