KIWANDA CHA KUZALISHA MBOLEA KUNZISHWA LINDI

KIWANDA CHA KUZALISHA MBOLEA KUNZISHWA LINDI

Like
386
0
Friday, 29 January 2016
Local News

SHIRILA la maendeleo ya mafuta na petrol Tanzania (TPDC) kwa kushrikiana na kampuni tatu wanatarajia kuanzisha kiwanda cha kuzalisha mbolea katika wilaya ya kilwa mkoani lindi.

Akizungunza wakati wa semina ya siku mbili ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari kuhusu uelewa wa sekta ndogo ya mafuta na gesi mkurugenzi wa mkondo wa chini kutoka TPDC dokta Wellington Hudson amezitaja baadhi ya kampuni watakazoshirikiana nazo katika ujenzi wa kiwanda hicho kuwa ni pamoja na kampuni ya ferostar ya Ujerumani na haldo topso kutoka Denamark.

Wellington amesema kuwa mara baada ya kiwanda hicho kukamilika kitakuwa na uwezo wa kuzalisha Tani Elfu 2, 200 za amonia kwa siku na Tani Elfu 3,850 za mbolea ya urea.

Comments are closed.