3 WAFUNIKWA NA KIFUSI KAWE

3 WAFUNIKWA NA KIFUSI KAWE

Like
378
0
Wednesday, 06 April 2016
Local News

MTU mmoja anasadikiwa kufariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa mara baada ya kuangukiwa na kufunikwa na kifusi katika chumba kimoja   maeneo ya Kawe Ukwamani, jijini Dar es salaam .

Akizungumzia tukio hilo Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Kawe Ukwamani SULTANI JETA amesema mnamo alfajiri ya leo kulisikika mshindo ambao ulitokana na ukuta kudondoka na kuwafunika watu wan ne wa familia moja wakiwepo watoto wawili ,mtu mzima mmoja na msichana mmoja mwenye umri wa miaka kumi na mbili ambao wote waliokolewa na kupelekwa katika Hospitali ya Mwananyamala kwa ajili ya matibabu.

Comments are closed.