WAZIRI MKUU ASHUHUDIA MPAMBANO WA SOKA KATI YA WABUNGE WA TANZANIA DHIDI YA WABUNGE WA AFRIKA MASHARIKI

WAZIRI MKUU ASHUHUDIA MPAMBANO WA SOKA KATI YA WABUNGE WA TANZANIA DHIDI YA WABUNGE WA AFRIKA MASHARIKI

Like
894
0
Friday, 27 April 2018
Sports

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Sumve, Richard Ndasa, katika mchezo wa mpira wa miguu kati ya Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma Aprili 26, 2018, katikati ni Mbunge wa Ulyankulu, John Kadutu.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge la Afrika ya Mashariki, Mhe.Martin Ngoga katika mchezo wa mpira wa miguu kati ya Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma Aprili 26, 2018.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mchezo wa mpira wa miguu kati ya Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Aprili 26, 2018. Kutoka kushoto ni Mbunge wa Kalenga Godfrey Mgimwa, Mbunge wa Sumbawanga mjini Aeshi Hilaly,Mbunge wa Morogoro Mjini Aziz Abood naMbunge wa Arumeru Mashariki ,Joshua Nassari.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahi jambo na Wabunge la Afrika ya Mashariki, wakati alipohudhuria kushuhudia mchezo wa mpira wa miguu kati ya Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki Aprili kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma 26, 2018.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja katika mchezo wa mpira wa miguu kati ya Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma Aprili 26, 2018, kutoka kushoto ni Mbunge wa Morogoro Mjini Aziz Abood,Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari,Mbunge wa Mafinga Cosato Chumi,Mbunge wa Mbulu Vijijini Flatei Massayna Mbunge wa Mchinga Hamidu Bobali.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *