Jioni ya leo team ya Efm Redio imewasili mkoani kigoma kwa ajili ya kesho kwenye nje ndani ya Mziki Mnene
Wamepokelewa na wenyeji wao kwa furaha na Shangwe pale walipotua uwanja wa ndege mkoani humo na kukuta watu wengi wakiwa wamesimama pembeni mwa uwanja wa Ndege na kuwashangilia
Hizi ni Picha za Mpokezi hayo