AFCON 2017: STARS YAKABILIWA NA KIBARUA KIZITO

AFCON 2017: STARS YAKABILIWA NA KIBARUA KIZITO

Like
285
0
Thursday, 09 April 2015
Slider

shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF jana limetangaza makundi ya timu yatakayoshiriki kwenye kombe la mataifa Afrika maarufu kama Afcon kwa mwaka 2017 yatakayofanyika huko Gabon.

katika makundi hayo timu za Afrika Mashariki hususani Tanzania zina kazi ya ziada kuhakikisha wanapambana vikali kutokana na timu walizopangiwa

RATIBA YA MAKUNDI AFCON 2017
Group A: Tunisia, Togo, Liberia, Djibouti
Group B: Madagascar, DRC, Angola, CAR
Group C: Mali, Equatorial Guinea, Benin, South Sudan
Group D: Burkina Faso, Uganda, Botswana, Comoros
Group E: Zambia, Congo, Kenya, Guinea Bissau
Group F: Cape Verde, Morocco, Libya, Sao Tome
Group G: Nigeria, Egypt, Tanzania, Chad
Group H: Ghana, Mozambique, Rwanda, Mauritius
Group I: Cote d’Ivoire, Sudan, Sierra Leone, Gabon
Group J: Algeria, Ethiopia, Lesotho, Seychelles
Group K: Senegal, Niger, Nambia, Burundi
Group L: Guinea, Malawi, Zimbabwe, Swaziland
Group M: Cameroon, South Africa, Gambia, Mauritania

Comments are closed.