AFCON: CRISTIAN ATSU AIINUA GHANA KUELEKEA NUSU FAINALI

AFCON: CRISTIAN ATSU AIINUA GHANA KUELEKEA NUSU FAINALI

Like
308
0
Monday, 02 February 2015
Slider

Christian Atsu alifanikiwa kuziona nyavu mara mbili na kuifanya Ghana iicharange mabao 3-0 timu mwenyeji wa mashindano ya Afcon Guinea huko Malabo siku ya jumapili

Atsu ameifanya timu yake hiyo ya Black Stars kupata njia nyeupe kwenye robo fainali alipofungua goli mnamo dakika ya nne kabla ya Kwesi Appiah hajaongeza goli linguine

Atsu mshambuliaji anaechezea Everton kwa mkopo akitokea Chelsea

Comments are closed.