AFISA WA POLISI AUAWA KWENYE SHAMBULIO LA KUJITOA MUHANGA INSTANBUL

AFISA WA POLISI AUAWA KWENYE SHAMBULIO LA KUJITOA MUHANGA INSTANBUL

Like
393
0
Wednesday, 07 January 2015
Global News

MSHAMBULIAJI wa Kike wa kujitoa muhanga amejilipua na kumuua Afisa wa Polisi wa Uturuki na kumjeruhi mwingine katika shambulizi lililofanywa katika Wilaya Mashuhuri kwa watalii ya Sultanahmet mjini Istanbul.

T T2

Serikali imelaani shambulizi hilo ambalo ni la Pili kufanywa dhidi ya Polisi na kuutikisa mji wa Istanbul katika kipindi cha wiki moja.

Comments are closed.