AFRIKA NA ULAYA ZAKUBALIANA KUPUNGUZA IDADI YA WAHAMIAJI

AFRIKA NA ULAYA ZAKUBALIANA KUPUNGUZA IDADI YA WAHAMIAJI

Like
290
0
Thursday, 12 November 2015
Global News

VIONGOZI wa Muungano wa Ulaya na Afrika wametia saini makubaliano yanayotarajia kupunguza idadi ya wahamiaji wanaofunga safari hatari ya kutaka kufika Ulaya.

Wakizungumza kwenye mkutano huo viongozi hao wameidhinisha kuundwa kwa hazina ya dola bilioni 1.9 bilioni za kusaidia mataifa ya Afrika katika suala la kukabiliana na wakimbizi.

Miongoni mwa mataifa yatakayonufaika kutokana na hazina hiyo ni Kenya, Tanzania, Uganda, Djibouti, Somalia, Sudan Kusini, Eritrea na Ethiopia.

 

Comments are closed.