AHADI HII YA SAMATTA HUENDA ITABADILISHA TASWIRA YA SOKA LA BONGO

AHADI HII YA SAMATTA HUENDA ITABADILISHA TASWIRA YA SOKA LA BONGO

Like
321
0
Tuesday, 07 June 2016
Slider

NAHODHA wa Timu ya Soka ya Tanzania (Taifa Stars) Mbwana Ali Samatta ameahidi kujenga kituo maalum nchini cha kuibua na kukuza vipaji vya wanasoka wachanga ili wafikie viwango vya kimataifa.

Sambamba na hilo, ameweka azma ya kukifanya kituo chake kuwa na wigo mpana wa kuwawezesha vijana wa kutoka nje ya Tanzania kuja kujifunza soka katika kituo hicho na kuwapeleka vijana wawili kila mwaka kwenda kujifunza zaidi mchezo huonchini Ubelgiji

Comments are closed.