AISHA MADINDA AFARIKI DUNIA

AISHA MADINDA AFARIKI DUNIA

Like
624
0
Wednesday, 17 December 2014
Entertanment

Mnenguaji mkongwe wa Bendi ya Twanga pepeta AISHA MBEGU MADINDA amefariki Ghafla leo jijini Dar es salaam.

Akizungumza na Efm muda mfupi uliopita Mwimbaji wa bendi hiyo Luiza Mbutu amesema mwili wa Marehemu Aisha Madinda umehifadhiwa katika Hospitali ya Mwananyamala Jijini Dar es salaam.

Kwa mujibu wa Taarifa za awali shughuli za Msiba huo zitafanyika Kigamboni nyumbani kwao na Marehemu.   Tutaendelea kukupa taarifa kupitia vipindi vyetu hapa EFM.

Mwenyezi Mungu aipumzishe roho ya Marehemu mahali pema Amina.

 

 

 

 

Comments are closed.