AJALI MBILI ZA TRENI ZAPELEKEA KUSITISHWA KWA SAFARI YA TRENI YA DELUXE

AJALI MBILI ZA TRENI ZAPELEKEA KUSITISHWA KWA SAFARI YA TRENI YA DELUXE

Like
284
0
Monday, 18 May 2015
Local News

AJALI mbili za Treni katika Stesheni za Ngeta mkoani Pwani na Kinguruwila mkoani Morogoro,zimesababisha kusitishwa kwa safari ya treni ya Deluxe.

Pia,huduma za usafiri huo kwa wakazi wa Dar es salaam,hazitakuwepo kutokana na kutowasili kwa Vichwa viwili vya Treni baada ya njia za reli kuharibika

Vichwa hivyo vilikuwa katika ukarabati wa kawaida kwenye karakana mkoani Morogoro,huku ajali hizo zikitokana na kuanguka kwa mabehewa matano wakati treni zote mbili stesheni hizo zilipokuwa safarini kuelekea mikoa ya Bara.

Comments are closed.