AJUZA AOKOLEWA KATIKA MELI ILIYOZAMA CHINA

AJUZA AOKOLEWA KATIKA MELI ILIYOZAMA CHINA

Like
309
0
Tuesday, 02 June 2015
Global News

WAOKOZI nchini china wanaowatafuta watu waliozama ndani ya maji kutoka kwenye meli ya abiria iliyozama katika mto Yangtze wameweza kumvuta kutoka kwenye meli hiyo mwanamke mwenye umri wa miaka 85.

Mwanamke huyo ni mmoja wa watu wapatao 12 wanaofahamika kunusurika katika ajali hiyo iliyotokea baada ya meli hiyo kuzama jana usiku nchini China .

Miili ya watu imekuwa ikivutwa kutoka kwenye meli hiyo ambapo zaidi ya  watu 400 walikuwa katika meli hiyo ilipopata ajali kutokana na hali mbaya ya hewa.

Comments are closed.