AL SHAABAB WAVAMIA MSIKITI GARISSA

AL SHAABAB WAVAMIA MSIKITI GARISSA

Like
285
0
Thursday, 21 May 2015
Global News

VIONGOZI Kaskazini mwa Kenya wamesema kuwa wapiganaji wa kundi la kigaidi kutoka Somalia la Al Shaabab waliuteka msikiti mmoja katika kaunti ya Garissa kwa masaa kadhaa. Wapiganaji hao waliwahutubia waumini waliokuwa msikitini kwa karibu saa mbili kabla ya kutokomea msituni. Waliikosoa serikali ya Kenya na kuonya waumini dhidi ya kuwa majasusi wa serikali ya Kenya.

Comments are closed.