AL SHABAAB WASHAMBULIA ASKARI KENYA

AL SHABAAB WASHAMBULIA ASKARI KENYA

Like
338
0
Tuesday, 23 December 2014
Global News

ASKARI MMOJA ameuawa na mwingine yupo mahututi baada ya kushambuliwa kwa kupigwa risasi Kaskazini mwa Kenya.

Askari hao wanadaiwa kushambuliwa na watu wanaosadikiwa kuwa ni wafuasi wa kundi la Al Shabaab.

Askari hao wa jeshi la Polisi kikosi cha ziada wamekutwa na kisa hicho mjini Wajir Kaskazini mwa Kenya usiku wa kuamkia leo.

 

 

Comments are closed.