ALEKSANDAR TONEV APEWA ADHABU KUTOCHEZA MECHI NNE BAADA YA KUKUTWA NA HATIA YA UBAGUZI WA RANGI

ALEKSANDAR TONEV APEWA ADHABU KUTOCHEZA MECHI NNE BAADA YA KUKUTWA NA HATIA YA UBAGUZI WA RANGI

Like
350
0
Friday, 31 October 2014
Slider

 

Winga wa klabu ya Celtic, Aleksandar Tonev amepewa adhabu ya kutokucheza mechi nne baada ya kukutwa na hatia ya kitendo cha ubaguzi wa rangi.

Raia huyo wa Bulgaria mwenye umri wa miaka 24 alifanya kitendo hicho kwa beki wa klabu ya Aberdeen, Shay Logan mwezi tisa mwaka huu mchezo ambao Celtic waliibuka na ushindi wa goli 2-1.

Shay-Logan

Shay Logan

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Uongozi wa klabu ya Celtic umesema adhabu hiyo ni kali na hawaamini kama mchezaji huyo ambaye yupo kwa mkopo akitokea klabu ya Aston Villa sio mbaguzi na hajawahi kufanya vitendo hivyo.

Hivi karibuni wachezaji kama Luis Suarez na John Terry waliadhibiwa kwa vitendo vya ubaguzi.

Comments are closed.