ALIEBAINI MABAKI YA NDEGE YA MALAYSIA AELEZEA MAZINGIRA YALIPOPATIKANA MABAKI HAYO

ALIEBAINI MABAKI YA NDEGE YA MALAYSIA AELEZEA MAZINGIRA YALIPOPATIKANA MABAKI HAYO

Like
323
0
Friday, 31 July 2015
Global News

MTU anayedaiwa kubaini ushahidi wa kwanza wa mabaki ya Ndege ya Malysia iliyopotea ameelezea mazingira ya yalipopatikana mabaki hayo,na kwamba yeye alikuwa katika shughuli zake za kawaida katika hoteli moja kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi.

Ni takribani miezi sita hadi sasa tangu kupotea kwa ndege hiyo huku kukiwa hakuna taarifa za uhakika kuhusu chanzo cha ajali hiyo

Mabaki hayo yaliyopatikana yanapelekwa Ufaransa kwa uchunguzi zaidi ili kubaini kama niya ndege ya Malaysia iliyopotea Boing 777,MH 370 iliyokuwa ikitoka Quala lumpa Malaysia ikielekea Beiging China Machi mwaka jana.

Comments are closed.