ALIYEITEKA NDEGE YA MISRI AKAMATWA

ALIYEITEKA NDEGE YA MISRI AKAMATWA

Like
270
0
Tuesday, 29 March 2016
Global News

RIPOTI zimesema kuwa mtekaji wa ndege ya EgyptAir amedai kuwa anahitaji kuongea na mkewe waliyetengana naye anayeishi Cyprus ambaye kwa sasa anadaiwa kuelekea katika uwanja huo wa ndege.

Rais wa Cyprus NicosAnastasiades amewaambia waandishi wa habari kwamba tukio hilo la utekaji nyara halikuwa la kigaidi na kwamba wanahakikisha kuwa kila mtu anaachiliwa akiwa salama.

Shirika la habari la Cyprus-CYBC limesema kuwa mtekaji huyo huenda alikuwa na malengo yake binafsi.

Comments are closed.