ALIYEKUWA MLINZI WA OSAMA BIN LADEN AFARIKI DUNIA

ALIYEKUWA MLINZI WA OSAMA BIN LADEN AFARIKI DUNIA

Like
313
0
Monday, 28 December 2015
Global News

Taarifa kutoka Yemen zinasema aliyekuwa mlinzi wa Osama Bin Laden, amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Vyanzo vya habari vya kitabibu vinaeleza  kwamba Nasser al Bahri ambaye pia alikuwa akijulikana kama Abu Jandal alifariki siku ya Jumamosi, katika Hospitali iliyoko kwenye mji wa Mukalla kusini mwa Yemen.

Alirudi nchini humo mwishoni mwa mwaka 2008, baada ya kuachiliwa kutoka katika kizuizi alichowekewa na Marekani huko Guantanamo.

Comments are closed.