KATIBU MKUU wa AMINA CHIFUPA Foundation, HAMIS CHIFUPA amempongeza Rais JAKAYA KIKWETE kwa kurejesha kwa Wananchi kiwanda cha Chai Cha Mponde kilichopo Lushoto mkoani Tanga.
Mzee CHIFUPA amechukua hatua hiyo kutokana na dalili njema aliyoionyesha Rais KIKWETE ya kurejesha rasilimali za Wananchi mikononi mwao ili kuwakomboa Kiuchumi..