AMNESTY INTERNATIONAL YAIKOSOA IRAN KUHAMASISHA WANAWAKE KUWA NA WATOTO WENGI

AMNESTY INTERNATIONAL YAIKOSOA IRAN KUHAMASISHA WANAWAKE KUWA NA WATOTO WENGI

Like
299
0
Wednesday, 11 March 2015
Slider

SHIRIKA la Kutetea Haki za Binadamu, Amnesty International, limekosoa jaribio la Iran kuwahamasisha Wanawake kuwa na watoto wengi.

Moja ya sheria inayopendekezwa itakuwa ni kinyume cha sheria kueneza Habari juu ya uzazi wa mpango.

Suala jingine ni kwamba itakuwa ni vigumu kwa Wanawake wasio na watoto, kupata kazi na kufanya kuwa ngumu watu kuachana.

 

Comments are closed.