ANDY MURRAY ATANGAZA NDOA

ANDY MURRAY ATANGAZA NDOA

Like
323
0
Friday, 20 March 2015
Slider

Huenda mwaka wa 2015 ukawa na kumbukumbu nzuri katika maisha mcheza tennis  Andy Murray kufuatia mpango wake wa kufunga ndoa na mpenzi wake Kim Sears April mwaka huu.

Mchezaji huyo raia wa Scotland amerejea katika nafasi ya nne duniani baada ya awali kuporomoka kutokana na upasuaji wa mgongo aliofanyiwa.

Furaha ya mchezaji huyo inachagizwa zaidi kutokana na rekodi mpya aliyojiwekea baada ya kufanikiwa kutinga nusu fainali katika mashindano ya Indian Wells yanayoendelea huko California Marekani.

Comments are closed.