ANGELA MERKEL ACHEMKA UCHAGUZI WA MAJIMBO

ANGELA MERKEL ACHEMKA UCHAGUZI WA MAJIMBO

Like
280
0
Monday, 14 March 2016
Global News

CHAMA cha Chansela wa Ujerumani Angela Merkel kimeshindwa katika uchaguzi wa majimbo, matokeo ya utafiti wa baada ya uchaguzi yanaonesha.

Chama cha AfD kinachowapinga wahamiaji, kimeimarika kwa kiwango kikubwa katika majimbo yote matatu.

Uchaguzi huo ulitazamwa na wengi kama kigezo cha uungwaji mkono wa sera ya kansela Merkel ya kuwapokea wakimbizi, ambapo zaidi ya wakimbizi na wahamiaji milioni moja waliingia Ujerumani mwaka 2015.

 

Comments are closed.