ANGELA MERKEL AITAKA JAPAN KUTAFUTA UFUMBUZI WA TUHUMA ZA WANAJESHI KUJIHUSIHA NA UTUMWA WA NGONO

ANGELA MERKEL AITAKA JAPAN KUTAFUTA UFUMBUZI WA TUHUMA ZA WANAJESHI KUJIHUSIHA NA UTUMWA WA NGONO

Like
528
0
Tuesday, 10 March 2015
Global News

KANSELA wa Ujerumani ANGELA MERKEL ameitaka Japan kuutafutia ufumbuzi mzozo unaohusiana na mfumo wa nchi hiyo wa utumwa wa ngono wakati wa vita.

Akikamilisha ziara yake nchini Japan ,MERKEL amekutana na KATSUYA OKADA, Mkuu wa Chama cha Upinzani cha Democratic na kusema, Japan inatakiwa kuendelea mbele na juhudi za maridhiano na Korea Kusini.

Kwa mujibu wa takwimu rasmi wanahistoria wanasema hadi Wanawake 200,000 wengi kutoka Korea, China, Indonesia, Ufilipino na Taiwan, waliwatumikia wanajeshi wa Japan katika madanguro ya Kijeshi.

M

Comments are closed.