ANGELA MERKEL ATARAJIA KWENDA MAHALI ILIPOANGUKA NDEGE YA SHIRIKA LA UJERUMANI

ANGELA MERKEL ATARAJIA KWENDA MAHALI ILIPOANGUKA NDEGE YA SHIRIKA LA UJERUMANI

Like
269
0
Wednesday, 25 March 2015
Global News

KANSELA wa Ujerumani ANGELA MERKEL anatarajia kwenda mahali ilipoanguka Ndege ya Shirika la Ujerumani, GermanWings katika Milima ya Alps nchini Ufaransa.

GermanWings ambayo ni tawi la bei nafuu la Shirika la Ndege la Ujerumani, Lufthansa imesema, ndege yake iliyopata ajali ilikuwa ikitoka katika mji wa Barcelona nchini Uhispania, ikielekea Duesseldorf Ujerumani, ikiwa na watu Zaidi ya 100.

Rais wa Ufaransa FRANCOIS HOLLANDE amesema anaamini hakuna mtu aliyenusurika katika ajali hiyo.

150325053644_germanwings_rescue_teams_624x351_getty

150324213857_germanywings_plane_france_vigil_624x351_afp

150324173423_alps_plane_crash_scene_512x288_reuters

150324140306_airbus_a320__640x360_afp

Comments are closed.