APPLE WAVAMIWA KIMTANDAO

APPLE WAVAMIWA KIMTANDAO

Like
229
0
Monday, 21 September 2015
Global News

KAMPUNI ya Apple ya Marekani imesema kuwa ipo katika hatua za kukabiliana na shambulio la kimitandao, lililopo kwa watumiaji wa simu za IPhone na iPad nchini China.

Watalaam wa ndani ya kampuni hiyo wamesema kuwa hilo ni moja la shambulio kubwa la kimitandao kuwahi kuikumba kampuni hiyo.

Msemaji wa kampuni ya Apple anasema kuwa kampuni yao imeondoa kwenye mzunguko wa soko vifaa vyote vinavyotiliwa shaka kuingiliwa na wavamizi hao wa kimitandao nchini China.

Comments are closed.