ARSENAL USO KWA USO NA BARCELONA

ARSENAL USO KWA USO NA BARCELONA

Like
259
0
Monday, 14 December 2015
Slider

 

Wakati Chelsea kukipiga tena na Paris St-Germain, Ratiba ya hatua ya 16 bora michuano ya klabu bingwa barani Ulaya

 

HII NDIO RATIBA KAMILI

 

Gent v Wolfsburg

 

Roma v Real Madrid

 

Paris St-Germain v Chelsea

 

Arsenal v Barcelona

 

Juventus v Bayern Munich

 

PSV Eindhoven v Atletico Madrid

 

Benfica v Zenit St Petersburg

 

Dynamo Kiev v Manchester City

 

Comments are closed.