ARSENAL YAONYESHA NIA KUMWAGA WINO NA ELNENY

ARSENAL YAONYESHA NIA KUMWAGA WINO NA ELNENY

Like
289
0
Monday, 28 December 2015
Slider

Arsenal yaanza mazungumzo kumwaga wino na kiungo wa Basel Mohamed Elneny

Mchezaji huyo wa Egypt, 23 alijiunga na klabu ya Uswiz mwaka 2013, na kushinda mataji ya ligi ya katika misimu yake mitatu

 

Kiasi cha pound milioni tano kinatajwa kuwa ada ya usajili kwa mchezaji huyu ambae atahitajika kupatiwakibali cha kazi.

 

Moja ya rekodi bora kwa nyota huyu ni ushindi wa nyumbani akiwa na klabu yake ya Basel dhidi ya Chelsea katika michuano ya mwaka 2013-14

 

Meneja wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger anatajwa kuwa makini zaidi kuongeza nguvu kwa kiungo wa kati

Comments are closed.