ASKOFU TUTU AREJESHWA HOSPITALI

ASKOFU TUTU AREJESHWA HOSPITALI

Like
184
0
Wednesday, 29 July 2015
Global News

ASKOFU  Desmond Tutu na mshindi wa nishani ya Nobel nchini Afrika Kusini, amerejeshwa tena Hospitali kwa matibabu zaidi.

Tutu wiki iliyopita aliruhusiwa kurejea nyumbani baada ya afya yake kuonekana kuimarika ndani ya siku saba za matibabu.

Hata hivyo kwa sasa Askofu tutu mwenye umri wa miaka 83 yupo katika uangalizi wa madakatari ambao wanaendelea kutibu maradhi yake.

 

Comments are closed.