ATHLETIC BILBAO YATWAA SUPER CUP

ATHLETIC BILBAO YATWAA SUPER CUP

Like
189
0
Tuesday, 18 August 2015
Slider

Klabu ya soka ya Athletic Bilbao imetwaa taji la Super Cup Bilbao wametwaa ubingwa huo baada ya miaka 31 katika mchezo uliochezwa katika dimba la Nou Camp.Katika mchezo wa fainali ya kwanza kwenye dimba la San Mames Bilbao walipata ushindi wa mabao 4-0.
Mshambuliaji Lionel Messi ndio alianza kuiandikia timu yake bao dakika 44 kabla ya Aritz Aduriz kuisawazishia timu yake katika dakika ya 81 ya mchezo na na kuihakikishia ubingwa huo kwa jumla ya mabao 5-1.
Beki wa Barca Gerard Pique na Kike Sola wa Bilbao walipewa kadi nyekundu katika mchezo huo.

Comments are closed.