AUDIO: MASWALI NA MAJIBU YA MKONGWE KATIKA SOKA ATHER MWAMBETA

AUDIO: MASWALI NA MAJIBU YA MKONGWE KATIKA SOKA ATHER MWAMBETA

Like
468
0
Friday, 06 February 2015
Slider

(09)Tanzania Simba na Yanga ni vilabu vikongwe unazungumziaje swala la kubadilisha makocha mara kwa mara je tatizo ni nini?

(10)Timu ya taifa imekuwa haifanyi vizuri kiasi cha kilamtu kuhaha ili kuapata muarobaini wa tatizo hilo huku TFF ikitaka kupunguza wachezaji wa kigeni kutoka watano katika timu za ligi kuu ili kuwapa nafasi wazawa hili unalizungumziaje

(11)Je viongozi wetu wa soka katika ngazi zote wanaongoza kwa kufata misingi ya kuendeleza soka? Na uwepo wa nyota wakigeni ni faida kwetu?

(12)Mambo yanaenda ndivyo sivyo katika soka la tanzania nini rai yako kwa TFF na viongozi wake.

(13)Kufukuzwa kwa makocha wa simba na yanga unadhani tatizo lipo kwa makocha au.

(14)Baada ya kuzungumza yote tuambie chanzo cha ugonjwa unaokusumbua na vipi maendeleo yako.

 

Comments are closed.