AUDIO: MWENDELEZO WA MAHOJIANO NA JUMA PONDAMALI MENSA KUPITIA MAKAO MAKUU YA MICHEZO

AUDIO: MWENDELEZO WA MAHOJIANO NA JUMA PONDAMALI MENSA KUPITIA MAKAO MAKUU YA MICHEZO

Like
662
0
Wednesday, 18 February 2015
Slider

Wanachokosea viongozi wa juu wa soka kwa vilabu  hapa nchini ni wapi maana wamekuwa wakilalamikiwa kuboronga  wanapokuwa madarakani…………..

Je, enzi zako vilabu kama Yanga uliyowahi kuichezea na timu ya taifa mlikuwa mnasafiri nje ya nchi mathalani Ulaya nakadhalika au utamaduni huu ni wa sasa tuu……..

Kuundwa kwa timu ya taifa ya Maboresho unadhani kutasaidia kuwa na timu bora ya taifa zaidi yah ii ya sasa?????????

Kikosi chenu cha timu ya taifa  enzi hizo kilikuwa na wachezaji mchanganyiko kwa timu za mikoani au ilikuwa timu za Daresalaam pekee?…………………..

Comments are closed.